Kwa mwezi Aprili, Simba itacheza mechi sita ambazo ikikamilisha kabla ya kukutana na Yanga, zitalingana michezo, hivyo kuchanga kwao karata vizuri kutawafanya kuingia Dabi ya Kariakoo wakiwa juu ya ...
MSIMU huu wa 2025-2026, viungo washambuliaji wamekuwa na namba nzuri za kufunga mabao katika Ligi Kuu Bara, ikionyesha wazi kuzibeba timu wanazozichezea, kama ilivyo kwa kiungo mshambuliaji ...
Baada ya kukamilisha mechi za viporo za Ligi Kuu soka Tanzania bara, Kocha wa Simba, Fadlu Davids ameeleza mipango inayofuata katika fainali ya kombe la shirikisho barani Africa dhidi ya RS Berkane.