Katika miaka 50 Madrid imewahi kupindua matokeo ya kuwa nyuma kwa mabao 3 au zaidi mara moja tu dhidi ya Derby County ...
Robo fainali ya Ligi ya Mabingwa msimu huu ina mechi nzuri popote unapotazama. Arsenal watamenyana na mabingwa wa Ujerumani Bayern Munich - wakiongozwa na nyota wa zamani wa Tottenham, Harry Kane, ...
Paris Saint-Germain PSG imetanguliwa mguu mmoja mbele kuelekea nusu fainali ya Ligi ya Mabingwa baada ya kuifunga Liverpool 2 ...
BAADA ya jana Jumanne kushuhudia kipute cha Ligi ya Mabingwa Ulaya kikipigwa, leo Jumatano mtoko ni ulke ule na miamba ya ...
BAADA ya Al Ahly kutolewa na Esperance ya Tunisia hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kama kawaida baadhi yetu ...
Bayern Munich wameanza kwa kishindo katika mechi ya mkondo wa kwanza ya hatua ya robo fainali katika michuano ya ligi ya ...
Mshambuliaji wa Liverpool, Alexander Isak, ameongeza matumaini kwa klabu hiyo baada ya kuripotiwa amerejea rasmi mazoezini ...
Real Madrid ndiyo klabu yenye rekodi ya kutwaa mara nyingi taji la Uefa, na Gareth Bale anaamini wao ndio Wafalme wa michuano hiyo - Ni michuano yao! Gareth Bale amesema Ligi ya Mabingwa Ulaya ndio ...
Nairobi, Kenya – Mashindano ya kufuzu kwa Ligi ya mabingwa ya klabu bingwa barani Afrika kwa wanawake kanda ya CECAFA yameingia hatua ya nusu fainali jijini Nairobi, lakini mjadala mkubwa unaoendelea ...